Beki wa Simba, Mohamed Hussein akiwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Beki wa Tanzania Prisons akichuana na mshambuliaji wa Simba.
Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Tanzania Prisons 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
Prisons, Lugano Mwangama.
No comments:
Post a Comment