NAIBU WAZIRI DR.PINDA CHANA AZINDUA MRADI WA "MPE RIZIKI SI MATUSI" KUMLINDA MWANAMKE DHID YA UKATILI WA MASOKO - LEKULE

Breaking

1 Mar 2015

NAIBU WAZIRI DR.PINDA CHANA AZINDUA MRADI WA "MPE RIZIKI SI MATUSI" KUMLINDA MWANAMKE DHID YA UKATILI WA MASOKO


Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa 'Mpe Riziki si Matusi" kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili katika masoko wakati akiuzindua Dar es Salaam jana. Mradi huo unaendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala, Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Ilala,

Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita (kushoto), akimkaribisha Naibu Waziri Dk.Pindi Chana baada ya kuwasili kwenye uzinduzi wa mradi huo.
Baadhi ya maofisa wa EfG (wenye sare) na wadau wengine wakisakata rhumba kwenye hafla hiyo

Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita (katikati), akitoa hutuba fupi mbele ya mgeni rasmi, Naibu Waziri Chana Pinda (kulia). Kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Ilala,

SOURCE:HABARIZAJAMII.COM

No comments: