PICHAZ CHELSEA IMETWAA UBINGWA WA CAPITAL ONE CUP KWA KUIFUNGA TOTTENHAM BAO 2- 0 - LEKULE

Breaking

2 Mar 2015

PICHAZ CHELSEA IMETWAA UBINGWA WA CAPITAL ONE CUP KWA KUIFUNGA TOTTENHAM BAO 2- 0


Kikosi cha timu ya Chelsea kikiongozwa na Kocha wao, Jose Mourinho baada ya kutangazwa mabingwa wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup 2014/15 usiku wa leo Uwanja wa Wembley kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham.
Kaptani wa Chelsea, John Terry (katikati) akinyanyua Kombe akiwa na wachezaji wa timu hiyo.

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho (katikati) akiwa kanyanyua kombe hilo.

Diego Costa akifunga bao la pili dakika ya 56 kipindi cha pili.

CHELSEA imetwaa ubingwa wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup usiku wa leo Uwanja wa Wembley kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham.

Kocha wa Chelsea, Mreno Jose Mourinho amesherehekea kutwaa taji la kwanza baada ya kurejea kuifundisha timu hiyo.

Tottenham (4-2-3-1): Lloris 6; Walker 5.5, Dier 5.5, Vertonghen 6, Rose 5.5; Bentaleb 5, Mason 5.5 (Lamela 71 6); Chadli 5.5 (Soldado 80), Eriksen 6.5, Townsend 5.5 (Dembele 62 6); Kane 5.
Subs not used: Vorm, Davies, Fazio, Stambouli,
Booked: Dier, Bentaleb
Manager: Mauricio Pochettino 5
Chelsea (4-3-3): Cech 7; Ivanovic 7, Cahill 7.5, Terry 8.5, Azpilicueta 7; Ramires 6.5, Zouma 6; Hazard 7.5, Fabregas 7.5 (Oscar 88), Willian 7 (Cuadrado 76); Diego Costa 8 (Drogba 90).
Subs not used: Courtois, Filipe Luis, Ake, Remy.
Booked: Cahill, Cuadrado, Willian
Manager: Jose Mourinho 7.5
Referee: Anthony Taylor 7
MOTM: Terry
Attendance: 89,297
Ratings by SAM CUNNINGHAM at Wembley

No comments: