RATIBA YA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) KESHO JUMATATU TAREHE 2 MACHI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI - LEKULE

Breaking

2 Mar 2015

RATIBA YA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) KESHO JUMATATU TAREHE 2 MACHI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI

NA.

MUDA

TUKIO

MHUSIKA


1.

12:00 - 01:00


Familia na Waombolezaji kupata chai nyumbani


Kaimu Katibu wa Bunge

2.

01:00 - 04:00

Misa ya kuaga mwili wa Marehemu


Kanisa Katoliki,

Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa


3.

04:00 - 04:30

· Ndugu, Jamaa na Wananchi kuwasili katika Viwanja vya Karimjee


· Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika nafasi zao


Katibu wa Bunge


4.

04:33

Kiongozi wa Upinzani Bungeni kuwasili


Kaimu Katibu wa Bunge

5.

04:36

Mhe. Naibu Spika kuwasili


Kaimu Katibu wa Bunge

6.

04:39

Mhe. Spika kuwasili


Mhe. Naibu Spika

7.

04:42

Mhe. Waziri Mkuu kuwasili


Mhe. Spika

8.

04:50

Mhe. Makamu wa Rais kuwasili

Mhe. Spika


9.

05:00

Mhe. Rais kuwasili


Mhe. Spika

10.

05:00

Mwili wa Marehemu kuwasili kwa gwaride maalum la Sergeant-At-Arms


Katibu wa Bunge

11.

05:00 - 05:15

Sala fupi

Kanisa Katoliki,

Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa

12.

05:15 - 05:20

Wasifu wa Marehemu


Kaimu Katibu wa Bunge

13.

05:20 - 05:30

Salamu na Rambirambi za Chama cha Mapinduzi (CCM)


Katibu Mkuu, CCM

14.

05:30 - 05:35

Salamu na Rambirambi kutoka kwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni


Kiongozi wa Upinzani Bungeni

15.

05:35 - 05:45

Salamu na Rambirambi za Serikali


Waziri Mkuu

16.

05:45 - 05:55

Salamu na Rambirambi za Uongozi wa Bunge


Mhe. Spika

17.

05:55 - 06:00

Neno la Shukrani toka kwa familia


Mwakilishi wa Familia

18.

06:00 - 06:15

Utaratibu wa safari


Kaimu Katibu wa Bunge

19.

06:15 - 07:15

Kuaga Mwili wa Marehemu kulingana na Itifaki


MC

20.

07:15

Mwili wa Marehemu kuondoka uwanjani kuelekea Uwanja wa Ndege


MC

21.

07:20 - 07:25

Viongozi wa Kitaifa kuondoka kulingana na Itifaki


MC

22.

07:40

Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndege


Kaimu Katibu wa Bunge

23.

08:00

Mwili, Familia na Waombolezaji kuondoka kuelekea Songea


Kaimu Katibu wa Bunge

24.

10:00

Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndge Songea na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa


Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

25.

10:00 - 10:15

Mwili wa Marehemu kuelekea Uwanja wa Majimaji


Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

26.

10:15 - 11:00

Mkuu wa Mkoa kuongoza wakazi wa Ruvuma kuaga mwili wa Marehemu


Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

27.

11:00 - 01:00

Mwili wa Marehemu kuondoka Uwanja wa Majimaji kuelekea Lituhi, Nyasa


· Ofisi ya Mkuu wa Mkoa


· Kaimu Katibu wa Bunge

28.

01:00

Mwili kuwasili nyumbani na taratibu za kifamilia kuendelea

No comments: