January Makamba amechapisha vitabu vyake na kugawa kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu, mbona Lowassa hakulalamika?
January Makamba alinunua Simu za Gallaxy Sumsang zaidi ya 140 akazigawa kwa wajumbe wa baraza UVCCM ZANZIBAR.
January 2013 alipokusanya marais wa vyuo vikuu Tanzania nzima Mt. Uluguru Hotel na kuwalipa laki moja na nusu kila moja ili watoe tamko kuwa anafaa kuwa rais, mbona Lowassa hakulalamika?
Membe amekuwa akipendelea wafuasi wake kwenda kusimamia chaguzi kama waangalizi wa SADC, mbona Lowassa hajalalamika?
Membe kanunua mabasi kwa baadhi ya makanisa, mbona Lowassa hakulalamika...?
Membe amekuwa na kawaida ya kuplant wagombea kama strategy yake na kuingilia chaguzi nyingi kanda ya ziwa, mbona Lowassa hajalalamika...?
Membe alipohudhuria tamasha la wasanii Mwanza na tamasha la extravaganza (la Wasabato) na kujipigia upatu mbona Lowassa hakulalamika?
Mwigulu alikuwa akitembea na mabango ya kuonyesha watu wakimuomba agombee mbona Lowassa hakulalamika...?
Mwigulu pia kaandika mawe karibu yote kila barabara Tz nzima mbona Lowassa hajalalamika...?
Mwandosya pia amekuwa akitumia Wanafunzi wa Vyuo vya Mbeya na juzi wamemuomba agombee Mbona Lowassa hajalalamika...?
Mbona Pia Prof. Muhongo anaombwa na umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Kilimanjaro, Arusha na Kanda ya Kaskazini mbona Lowassa hajalalamika.?
Sumaye mwezi December alipozunguka makanisa yote, Mbeya, Dar, na Mwanza kwa ajili ya kujitangaza mbona Lowassa hakulalamika?

No comments:
Post a Comment