Beki wa zamani wa timu ya soka ya Yanga na timu ya taifa, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ akisukuma jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Kocha Msaidizi timu ya taifa ‘Taifa Stars’ marehemu, Sylvester Marsh, wakati wa ibada ya kuaga mwili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Muhimbili jijini Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kuelekea jijini Mwanza kwa mazishi
Mwanahamis Omary wa timu ya taifa ya Wanawake akiaga mwili wa Kocha Marsh.
Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho.
Kocha wa Coastal Union ya Tanga, Jamhuri Kihwelo akitoa salamu zake za mwisho.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza
No comments:
Post a Comment