Tuliona walichofanya mastaa wa Marekani
kupinga mauaji ya watu weusi yaliyotokea kwenye nchi hiyo ikiwahusisha
maafisa wa usalama.
Kwenye mitandao ya kijamii kuliandikwa ujumbe uliokuwa na hashtag ya ‘I Can’t Breathe’ na zikawepo mpaka tshirt zenye neno hilo kupinga mauaji ya Eric Garner na hayo yalikuwa maneno yake ya mwisho aliyoyasema kabla ya kuuawa na Polisi kwa kukabwa shingo.
Kundi ya mziki nchini Urusi la Pussy Riot limetoa video ya wimbo unaoitwa I Can’t Breathe na kusema wimbo huo ni maalum kwa Eric na wale wote wanahofia mauaji hayo kama njia ya kuonyesha mshikamano.
Na hizi ni baadhi ya zile zilizovaliwa na mastar kupinga mauaji hao
Pussy Riot mastaa kwenye muziki Marekani nao wamekuja na hii video ya wimbo, ‘I Can’t Breathe’
No comments:
Post a Comment