PHOTO’S: Mwili wa marehemu MEZ B umepumzishwa katika makaburi ya WAHANGA, DODOMA - LEKULE

Breaking

23 Feb 2015

PHOTO’S: Mwili wa marehemu MEZ B umepumzishwa katika makaburi ya WAHANGA, DODOMA

Pichani ni Mama mzazi wa Mez B akiwa ameshikiliwa na ndugu baada ya kuingia viwanja vya Mashujaa ili kutoa heshima za mwisho. Marehemu Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndugu jamaa na marafiki mwili wake ulielekea kupumzishwa katika makaburi ya Wahanga Maili mbili.

Mungu ailaze roho ya marehemu Mez B mahali pema peponi


Baadhi ya wasanii waliohudhuria msiba huu wa Mez B wakiwa kwenye majonzi mazito





Mtangazi wa Citizen TV anayejulikana kwa jina la Mzazi Willy Tuva akifanya mahojiano na msanii wa Bongo Fleva Janjaro.




No comments: