Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh.
Joshua Nasary akitoa salamu za Pole kwa wafiwa wote wakati wa mazishi
ya Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo aliyefariki Tarehe 7.02.2015 na
kuzikwa kijijini kwao Sing'isi Meru tarehe 12.02.2015 .
Baba wa Marehemu Mzee Pendael T. Pallangyo akitoa Salam zake za Mwisho kwa Mwanae Mpendwa Emmanuel Pallangyo
Kaka Mkubwa wa Marehemu Elisante Pallangyo, akifuatiwa na Dada zake Eliakunda Pallangyo, Magreth Pallangyo pamoja na Sarah Pallangyo wakitoa Heshima za Mwisho katika Mwili wa Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo Kijijini kwao Sing'isi Meru Arusha.
Wa kwanza kulia ni Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nasary akiwa na kwenye msiba wa Marehemu Emmanuel Pallangyo ambaye alikuwa ni Mwanafunzi wa IFM nyumbani kwao Sing'isi Meru.
Mmoja wa wanafamilia akisoma Wasifu wa Marehemu Emannuel Pendael Pallangyo
Msaidizi wa Askofu mkuu wa Jimbo la Kaskazini Paulo Urio akiongoza Ibada ya Mazishi ya Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo kijijini kwao Sing'isi Meru
No comments:
Post a Comment