WAJUWA HATARI YA KUNYWA MAJI KWA KASI? - LEKULE

Breaking

24 Jan 2015

WAJUWA HATARI YA KUNYWA MAJI KWA KASI?



Je, wajuwa kunywa maji kwa kasi baada ya kupatwa na kiu kali pia kutumia njia zisizo sahihi kwa kunywa maji husababisha kupatwa na sumu inayotambulika kama sumu ya maji.
Na hiyo ni kwa sababu ya kuwa kunywa maji katika njia zisizo sahihi na hasa pale mtu anapokaa muda mrefu bila ya kunywa maji hupelekea Sodium ya damu kukosa ufanisi katika utendaji wake.
Usinywe maji haraka ndugu utaumia bure.

No comments: