Vitamin B ni katika vitamin maarufu na muhimu inayosaidia kuuchangamsha ubongo na kuongeza uwezo wa kielimu katika kufikiria.
Uchunguzi uliofanywa na taasisi ya Jumuiya ya madola inayosimamia maswala ya \kielimu na ufundi umuthibitisha kuwa mpandano wa Vitamin B umesaidia kuuuweka katika mazingira mazuri ubongo wa watu wenye umri kati ya miaka 22 na 92 .
Uchunguzi huo pia ukathibisha kuwa matumizi ya vyakula vyenye Vitamin B inasaidia kuongeza uwezo wa kufikira na kuongea, ambapo wataalamu wa maswala ya chakula wakaashiria kwa kusema kuwa, mkusanyiko wa vitamin B unapatikana katika vyakula vingi kama vile:- MAINI, MAZIWA, MBOGAMBOGA na katika aina zote za nafaka.

No comments:
Post a Comment