Raisi wa Ghana John Mahama ametangaza kwamba kuna umuhimu mkubwa wa
msaada wa kimataifa kwa ajili ya kulimaliza kundi la Boko Haram
linalopingana na serikali ya Nigeria.
Ameongezea kwa kusema haitowezekana kwa taifa moja pekee kulimaliza kundi hilo, na kwama ugaidi popote pale ulimwenguni ni kitisho cha kimataifa.
Raisi huyo ameashiria kwamba viongozi wa magharibi mwa Afrika watakutana wiki ijayo katika juhudi za kufikia mwafaka kutoka Umoja wa Mataifa ya Afrika kuhusu kuunda tume ya vikosi vya mataifa mbali mbali ili kuwapiga vita Boko Haram.

No comments:
Post a Comment