Kanisa moja nchini Uingereza hii leo litamuapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi.
Libby Lane mwenye umri wa miaka 48 na ambaye ana watoto wawili atakuwa kasisi wa kwanza wa kanisa la Stockport.
Sherehe hizo zitaongozwa na kasisi mkuu John Sentamu eneo la York Minister.
Hatua hiyo inayomaliza ukiritimba wa utamaduni wa wanaume kuwa makasisi umeendelea kuzua hisia tofauti miongoni mwa wafuasi wa kanisa hilo la kianglikana duniani.
No comments:
Post a Comment