KIKAO CHA 19 CHA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO LINALOJADILI SAKATA ZIMA LA UWIZI WA BILIONI 321 NDIO NYIMBO MPYA MITAANI.
KWA UPANDE WA JIJI LA DAR ES SALAAM,UKIPANDA DALADALA WANASIKILIZA BUNGE,UKIPANDA BAJAJI,PIKIPIKI HATA VIJIWENI KWA WAHUNI WAAINA ZOTE JIJI WANASIKILIZA BUNGE.
KILA KICHORORO UNACHOKATIZA JIJI DAR NI BUNGE NDIO LINALOSIKILIZWA

No comments:
Post a Comment