TAASISI YA KIISLAMU YA MUZDALIFAT YATOA VIFAA MBALIMBALI VYA HOSPITALI ZANZIBAR - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 25 February 2016

TAASISI YA KIISLAMU YA MUZDALIFAT YATOA VIFAA MBALIMBALI VYA HOSPITALI ZANZIBAR

Baadhi ya vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000 (laki tatu arobaini na tano Elfu)vilivyotolewa na Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat kwa kushirikiana na Taasisi ya Helping Hand yenye makao Makuu nchini Marekani.
Wanafunzi wa skuli ya Sekondari ya Farouk Aktas Muslim iliopo kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja wakihudhuria katika Hafla ya Utoaji wa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000 (laki tatu arobaini na tano Elfu)kutoka Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat kwa kushirikiana na Taasisi ya Helping Hand yenye makao Makuu nchini Marekani.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Salum katikati akipata maelezo kwa Muakilishi wa Taasisi ya Helping Hand Mohammad Habibu kuhusiana na Vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000 (laki tatu arobaini na tano Elfu)vilivyotolewa na Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat kwa kushirikiana na Taasisi yake yenye makao Makuu nchini Marekani.hafla iliofanyika Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Muzdalifat Farouk Hamadi akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi katika Hafla ya kutoa Vifaa mbalimbali vya Hospitali iliofanyika Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Naibu katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Salum akikabidhiwa Vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye thamani ya Dola za Kimarekani 3,45000 (laki tatu Arobaini na Tano Elfu) na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Muzdalifat Farouk Hamadi.wa kwanza kushoto ni Muakilishi wa Taasisi ya Helping Hand yenye makao makuu Nchini Marekani Mohammad Habibu.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Salum akitoa hotuba baada ya kupokea Vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye thamani ya Dola za Kimarekani 3,45000 (laki tatu Arobaini na Tano Elfu) vilivyotolewa na Taasisi ya Muzdalifat Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR. 
Post a Comment