Wabunge
wa Kambi Rasmi ya Upinzani leo asubuhi wameingia bungeni wakiwa wote
wamevalia nguo nyeusi walipohudhuria kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti
mjini Dodoma.
Baada
ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia bungeni na kuongoza dua ya
kuliombea Bunge, walianza kunyanyua mabango mbalimbali na kutoka nje.
No comments:
Post a Comment