Marian
Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic
akiangalia chakula cha Ng’ombe wakati alipotembelea mashamba ya ng’ombe
na kiwanda cha MilkCom kinachomilikiwa na makampuni ya OilCom Group
kilichopo Kigamboni wilayani Temeke jijini Dar es salaam akiongozana
na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini humo, Ujumbe huo ulikuja
nchini kwa lengo la kuangalia fursa za uwekezaji zilizopo nchini
Tanzania na ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi hizi mbili.
Marian
Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic
akiongozwa na Mkurugenzi wa kiwanda cha Milkcom Bw. Salum Nahdi wakati
alipokuwa akitembelea kiwanda hicho.
Baadhi ya ng’ombe katika shabla la kampuni ya MilkCom
Mkurugenzi
wa Kiwanda cha Milkcom Bw. Salum Nahdi kulia, Mh. Balozi wa Heshima wa
Jamhuri ya Czech Republic nchini Tanzania Mh.John Chaggama na SAid Nahdi
Mkurugenzi wa Makampuni ya OilCom Group wakifurahia jambo wakati wa
ziara hiyo ya ujumbe wa Czech Republic. (P.T)
Baadhi ya wafanyabiashara hao wakikagua eneo la kukamulia maziwa.
Dk.
Sajeev Kumar Meneja wa Shamba la mifugo akitoa maelezo kwa Marian Jureck
Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic na ujumbe wake
wakati alipotembelea shamba hilo.
Marian
Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiuliza
jambo wakati alipotembelea shamba la ng’ombe la Milkcom.
Meneja wa
Shamba la ng’ombe la Milkcom akitoa maelezo kwa Marian Jureck Waziri wa
Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic na ujumbe wake wakati
alipotembekea katika shamba hilo.
Ng’ombe wa maziwa wakikamuliwa kwa mashine maalum.
Francis
Gatara Meneja wa uzalishaji kiwanda cha maziwa cha Milkcom akitoa
maelezo kwa Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa
Czech Republic wa tatu kutoka kulia , kulia ni Mkurugenzi wa Kiwanda
hicho Bw. Salim Nahdi.
Marian
Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic wa pili
kutoka kulia na baadhi ya wafanyabiashara wakiangaliwa pakiti za maziwa
ambayo tayari yameshazalishwa kwa ajili ya kuingizwa kwenye soko.
Marian
Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic wa pili
kutoka kulia na Mkurugenzi wa kiwanda hicho Salim Nahdi wa tatu kutoka
kulia wakionyesha pakiti za maziwa yaliyokwasha tengenezwa tayari
kuingiua kwenye soko.
Marian
Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akipokea
zawadi kutka kwa Salim Nahdi Mkurugenzi wa kiwanda cha maziwa cha
Milkcom.
Marian
Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiwa
katika picha ya pamoja na uongozi wa kiwanda cha Milkcom na ujumbe wa
wafanyabiashara alioongozana nao.
No comments:
Post a Comment