Mkuu
wa Vodacom Kanda ya Ziwa, Domician Mkama akigawa Fulana za Vodacom kwa
wanafunzi wa Nganza Sekondari katika Tamasha la michezo la shule hiyo
waalilolidhamini jijini Mwanza jana.
Kanda:
Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa, Domician Mkama akizungumza na wanafunzi
wa Shule ya Sekondari Nganza ya jijini Mwanza jana katika tamasha la
michezo lililodhaminiwa na Vodacom. Picha na Lordrick Ngowi
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nganza ya jijini Mwanza wakishndana
kukimbia na magunia jana katika tamasha la michezo lililodhaminiwa na
Vodacom.
Halima
Juma na Jesca Balakekenwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nganza ya
jijini Mwanza wakishindana kula keki na soda jana katika tamasha la
michezo lililodhaminiwa na Vodacom.
Muntancy
Rashidi na Rosemery Yohana wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nganza ya
jijini Mwanza wakishindana kula chakula jana katika tamasha la michezo
lililodhaminiwa na Vodacom
Mwanafunzi
wa Shule ya Sekondari Nganza ya jijini Mwanza, Dativa Anold akicheza
jana kwenye tamasha la michezo lililodhaminiwa na Vodacom lililofanyika
katika uwanja wa shule hiyo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Shule ya Sekondari Nganza ya jijini Mwanza, Christopher
Gachuma akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo jana kwenye tamasha la
michezo lililodhaminiwa na Vodacom lililofanyika katika uwanja wa shule
hiyo.
Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari Nganza ya jijini Mwanza wakifatilia michezo
iliyokuwa ikiendelea jana kwenye tamasha la michezo lililodhaminiwa na
Vodacom lililofanyika katika uwanja wa shule hiyo. Picha na Lordrick
Ngowi.
No comments:
Post a Comment