Rais
Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akimaliza kuweka saini katika
kitabu cha Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa
Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya Ibada maalumu ya
Kumbukumbu ya kifo hicho katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini
katika kitabu cha Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo cha aliyekuwa Waziri
Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya Ibada maalumu ya
Kumbukumbu ya kifo hicho katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar
es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda alipowasili
kuhudhuria Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri
Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph
jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akilakiwa na Katibu Mkuu wa TEC Fr. Raymond Saba alipowasili kuhudhuria
Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akilakiwa na mtoto Balozi Joseph Moringe Sokoine alipowasili kuhudhuria
Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Wajane
na binti wa aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine
wakiwa katika Ibada Maalumu ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo chake
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12,
2016
Ibada
Maalumu ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo chake katika kanisa la
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa wakishiriki katika Ibada ya
Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward
Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam
Jumanne April 12, 2016
Sehemu
ya waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha
aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Sehemu ya waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo
cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Viongozoi wa taasisi mbalimbali waliohudhuria katika Ibada ya
Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward
Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam
Jumanne April 12, 2016
Viongozoi wa taasisi mbalimbali waliohudhuria katika Ibada ya
Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward
Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam
Jumanne April 12, 2016
Balozi Joseph Sokoine na viongozoi wa taasisi mbalimbali waliohudhuria
katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri
Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph
jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Sehemu ya watu waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya
Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika
kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016

ya kinamama na watoto wao waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya
miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April
12, 2016
Wanakwaya
katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri
Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph
jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais
Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akiongea machache wakati wa Ibada
ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Msemaaji wa familia akiongea wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32
ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika
kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiongea machache wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha
aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Balozi
Joseph Sokoine na wageni wengine wakisiliza hotuba wakati wa Ibada ya
Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward
Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam
Jumanne April 12, 2016
Wageni
wakisikiliza hotuba mbalimbali wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka
32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12,
2016
Wageni
wakisikiliza hotuba mbalimbali wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka
32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12,
2016
Wageni
wakisikiliza hotuba mbalimbali wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka
32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12,
2016
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru na mkewe na wageni wengine wakifuatilia yaliyojiri wakati
wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu
Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini
Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wa Ibada
ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Katibu
Mkuu wa TEC Fr. Raymond Saba akiongea wakati wa Ibada maalumu ya
Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe
Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne
April 12, 2016
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea wakati wa Ibada
ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Rais Mstafu Mzee Benjamin William Mkapa wakifurahia jambo wakati wa
hotuba ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wa Ibada
ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na Katibu Mkuu wa TEC Fr. Raymond Saba wakiwapa mikono familia ya Marehemu wakati wa Ibada
ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwapa mikono familia ya Marehemu wakati wa Ibada
ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapa mikono wajane wa Marehemu wakati wa Ibada
ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstafu Mzee Benjamin William Mkapa wakiwapa mikono wajane wa Marehemu wakati wa Ibada
ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Jumanne April 12, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisi dikizwa na Balozi Joseph Moringe Sokoine baada ya Ibada ya
Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward
Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam
Jumanne April 12, 2016.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment