Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli, mchana huu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama
Anna Kilango Malecella, kwa kubaini kuwa alimwambia uwongo kuwa Mkoa
wake hauna wafanyakazi hewa.
Pia amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mkoa huo.
HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE.
No comments:
Post a Comment