Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge
Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu
Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa Bw. Serge
Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu
Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika picha ya pamoja na mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa
Bw. Serge Prammertz wakati Bw. Serge alipofika Ofisini kwa Makamu wa
Rais Ikulu Dar es salaam leo April 13,2016 kwa ajili ya kujitambulisha
No comments:
Post a Comment