Faraja Nyalandu ni mrembo wa Kitanzania ambae uzito wa jina lake uliongezeka baada ya kushiriki kwenye shindano la Miss Tanzania 2004, ambapo kipindi cha karibuni uzito wa jina lake uliongezeka baada ya kuanzisha Taasisi ya SHULE DIRECT na kuwezesha Wanafunzi wa kitanzania kujisomea kupitia tovuti.
Baada ya hayo yote sasa hivi Faraja ametangaza nafasi kwa mamilioni ya Wanafunzi kujisomea kupitia SMS ili kusaidia hata wale ambao hawakuwa na uwezo wa Internet waweze kujisomea kupitia SMS huku taasisi hii ya SHULE DIRECT ikiwa na Mwalimu ambaye atakua msaidizi mkuu wa Wanafunzi wote, zaidi mtazame kwenye hii video.
No comments:
Post a Comment