VideoMPYA: ‘My Life’ ya Dogo Janja imeachiwa tayari - LEKULE

Breaking

14 Mar 2016

VideoMPYA: ‘My Life’ ya Dogo Janja imeachiwa tayari



Baada ya kimya cha muda mrefu Dogo Janja kutoka Tip Top Connection 2016 aliachia hit single yake ya ‘My Life’, ngoma hiyo Dogo Janja amebadili ni tofauti na tulivyomzoea katika ngoma zake za nyuma. March 14 Dogo Janja kaachia rasmi video ya hit Single ya ‘My Life’ enjoy mtu wangu.

No comments: