Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja wa Washairi Tanzania
(UWASHATA) leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa umoja huo Seleman
Kirungi na kusho ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) Dkt. Ernesta
Mosha.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura (mwenye miwani) akisikiliza maelezo kuhusu mwandishi wa Fasihi Hayati Sheikh
Amri Abeid Kaluta kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Utamaduni _Sehemu
ya Lugha Bibi. Shani Kitogo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja wa Washairi Tanzania
(UWASHATA) leo jijini Dar es Salaam.
Msherehesaji katika hafla ya uzinduzi wa Umoja wa Washairi Tanzania
(UWASHATA) Mfaume Rashid akisisitiza jambo wakati wa zoezi la uzinduzi wa umoja huo
leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili
(TATAKI) Dkt. Ernesta Mosha, Mlezi mstaafu wa UKUTA Prof Mulokozi na Mwandishi wa
vitabu na mwakilishi wa UWASHATA Charles Mloka.
Mjukuu wa Hayati Mathias Mnyampala Bw. Stanley Machichimi Mnyampala akimpa
zawadi ya Kitabu cha fasihi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
Annastazia James Wambura wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja wa Washairi Tanzania
(UWASHATA) leo jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho kinajulikana kwa jina la “Maisha
Gharamia” ambacho kilitungwa na Babu yake. Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za
Kiswahili (TATAKI) Dkt. Ernesta Mosha,Mlezi mstaafu wa UKUTA Prof Mulokozi na
Mwandishi wa vitabu na mwakilishi wa UWASHATA Charles Mloka.
Mtoto wa Hayati Amiri Abeid Kaluta akimkabidhi zawadiya kitabu Naibu Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wakati wa hafla ya
uzinduzi wa Umoja wa Washairi Tanzania (UWASHATA) leo jijini Dar es Salaam. Kitabu
hicho kinajulikana kwa jina la “Maisha Gharamia” ambacho kilitungwa na Babu yake.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) Dkt. Ernesta Mosha,Mlezi
mstaafu wa UKUTA Prof Mulokozi na Mwandishi wa vitabu na mwakilishi wa
UWASHATA Tawi la Dodoma Charles Mloka.
Mmoja wa wasanii wa Ushairi akielezea namna Kitabu cha “Kivuli cha Mvumo” wakati
wa hafla ya uzinduzi wa Umoja huo leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa
Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) Dkt. Ernesta Mosha,Mlezi mstaafu wa UKUTA
Prof Mulokozi na Mwandishi wa vitabu na mwakilishi wa UWASHATA Charles Mloka
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura akiwa Mwyenyekiti wakiwa wameshika Hati ya usajili wa Umoja wa Washairi
Tanzania (UWASHATA wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja huo leo jijini Dar es Salaam.
Kulia ni Mwenyekiti wa umoja huo Seleman Kirungi na kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya
Taaluma za Kiswahili (TATAKI) Dkt. Ernesta Mosha.
Msherehesaji katika hafla ya uzinduzi wa Umoja wa Washairi Tanzania
(UWASHATA) ambaye pia ni ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni za Mfaume Rashid
akionyesha moja ya vitabu alivyo vitunga leo wakati wa hafla ya uzinduzi wa huo leo wakati
wa hafla ya uzinduzi wa huo leo. Vitabu hivyo ni pamoja ma Kivuli cha Kiamboni, Umbuji
wa Kiswahili na Nuru Gizani.
Baadhi ya Wafanyakazi kutoka Idara ya Maendeleo ya Utamaduni wakiangalia tarifa
mbalimbali kuhusu waandishi wa vitabu vya Fasihi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja
wa Washairi Tanzania (UWASHATA).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Umoja wa Washairi
Tanzania (UWASHATA) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja huo leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Frank Shija,WHUSM
No comments:
Post a Comment