Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimpa pole Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa kufiwa na kaka
yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini Msoga,
Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016.
Mama
Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete kwa kufiwa na kaka yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa
mazishi kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo
Machi 5, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimfariji Mjane wa Marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa
mazishi kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo
Machi 5, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakimfariji Mjane wa Marehemu Mzee Selemani
Mrisho Kikwete na wanafamilia, wakati wa mazishi kijijini Msoga,
Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016.
Makamu
wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli, mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja
na Mama Salma Kikwete wakiwa msibani kwa kaka yake Rais Mstaafu Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete, MarehemuMzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa
mazishi kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo
Machi 5, 2016. Wengine kutoka kushoto ni Mama Asha Bilali, Mama Khadija
Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi, Mama Asha Seif Ali Iddi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipokea hela ya utani toka kwa Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete
wakati wa mazishi ya Baba yake Mkubwa Mzee Selemani Mrisho Kikwete,
kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5,
2016 wanaoshuhudia ni Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Rais
wastaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mhe. Benjamin Mkapa, Alhaj Ally
Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe John Malecela. Katika utamaduni
wa Kitanzania Wakwere na Wasukuma ni watani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimkabidhi hela ya utani kwa mkaazi wa Chalinze ambaye ni Msukuma Bwana
Luhende baada ya kuipokea toka kwa Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani
Kikwete wakati wa mazishi ya Baba yake Mkubwa Mzee Selemani Mrisho
Kikwete, kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo
Machi 5, 2016 wanaoshuhudia ni Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein,
Rais wastaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mhe. Benjamin Mkapa, Alhaj Ally
Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe John Malecela. Katika
utamaduni wa Kitanzania Wakwere na
Wasukuma ni watani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiweka mchanga kwenye kaburi la Mzee Selemani Mrisho Kikwete huko Msoga mkoani Pwani. Mzee Selemani Kikwete alikuwa kaka mkubwa wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya kaka yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi
kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5,
2016.
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinayanga, Bw. Khamis Mgeja akiongea na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
na Rais MStaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Mazishi ya Marehemu
Mzee Selemani Mrisho Kikwete, kijijini Msoga, Chalinze, wilayani
Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016.
PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment