Simba aliyeingia mtaani na kujeruhi Mtu akamatwa Kenya - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Friday, 18 March 2016

Simba aliyeingia mtaani na kujeruhi Mtu akamatwa Kenya


Asubuhi ya leo March 18 2016 iliripotiwa taarifa ya Simba mmoja aliyetoroka kutoka Hifadhi ya Taifa ya Nairobi nchini Kenya na alionekana mtaani na kumjeruhi mtu mmoja.
Huduma ya Wanyamapori ya Kenya imesema Simba huyo aliyeripotiwa kuonekana ijumaa asubuhi akiranda karibu na City Cabanas barabara ya Mombasa amekamatwa na mtu aliyejeruhiwa alipelekwa hospitali.
Post a Comment