Binti Ajinyonga huko Longido ...Aacha majina ya watu anaowadai na Kuagiza Walipe Kabla Maiti Yake Haijasafirishwa - LEKULE

Breaking

31 Mar 2016

Binti Ajinyonga huko Longido ...Aacha majina ya watu anaowadai na Kuagiza Walipe Kabla Maiti Yake Haijasafirishwa


Binti mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain Lodge na kuacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote 

Amesema amejinyonga kwa ridhaa yake mwenyewe.Katika ujumbe huo, ametaja majina ya watu anaowadai na kuagiza  walipe madeni yake kabla ya mwili wake kusafirishwa kwao pamoja na namba za Mama yake mzazi.
Mimi Jesca Reinald Elisante Leo tarehe 29 , 03 , 2016 nimeamua kujinyonga kwa ridhaa yangu mwenyewe hakuna mtu yeyote anayehusika na kifo changu na hizi ni namba ya Mama  yangu,0672740439.

Ninao wadai
Mama Diana  33,000/=
John Memory card 4 GB
Boss Mshahara 60,000/=

wanao nidai
Zai 20,000/=alipwe na ninao wadai wahakikishe wanalipa kabla sijarudishwa kwetu.

NB:HAKUNA ANAYEHUSIKA NA KIFO CHANGU.
Ndugu zangu nawapenda sana
vitu vyangu vyote vipelekwe kwetu
Jau Kwenye Kuni.

No comments: