Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia
Tanzania (OFAB), Philbert Nyinondi (kulia), akizungumza na wakulima na
Washiriki wa Mafunzo ya kutumia simu za mkononi kupashana habari za
kilimo yaliyofanyika Kijiji cha Kisamwene wilayani Butiama mkoani Mara
leo mchana.
Mratibu wa Jukwaa la
Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Philbert Nyinondi, akionesha mhogo
wakulima uliotokana na mbegu ya Ukombozi iliyofanyiwa utafiti nchini.
Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia za
Kilimo Afrika (OFAB), Daniel Otunge akiwa katika shamba la mkulima wa
mfano lililopo kijijini hapo.
Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia za Kilimo Afrika (OFAB), Daniel Otunge akimpiga picha mmoja wa wakulima katika mafunzo hayo.
Wakulima washiriki wa mafunzo hayo wakiwa ukumbini.
Wakulima wakiwa katika shamba la mihogo.
Mkulima akichimba muhogo wa mafunzo kutoka shamba hilo. Muhogo huo ni wa miezi nane tu.
Mratibu wa Jukwaa la
Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Philbert Nyinondi, akionesha mhogo
wakulima uliotokana na mbegu ya Ukombozi iliyofanyiwa utafiti nchini.
Nyinondi alikuwa akiwaonesha wakulima jinsi unavyoweza kuupiga picha na
kuutafutia soko.
Shamba la muhogo lililotokana na mbegu bora ya mkombozi.
Wakulima wakiwa katika mafunzo hayo. |
Wakulima wakiwa katika mafunzo ya kupiga picha. |
Hapa wakulima hao wakibadilishana mawazo baada ya kupiga picha za mafunzo.
No comments:
Post a Comment