Moja ya vitu ambavyo vilizungumzwa na Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kwenye kikao cha Umoja wa Afrika Addis Ababa Ethiopia ni kauli anayodai aliambiwa na Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete.
Rais Mugabe anasema JK alimwambia kwamba wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania, Ulaya walimwambia chama cha mapinduzi kimeongoza nchi kwa muda mrefu, sasa ni wakati wa kuachia wengine watawale…’
Mugabe mbele ya umati wa viongozi mbalimbali waliohudhuria kikao hicho akiwemo katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon alisema ‘Hii ni demokrasia? na eti hii kauli imetokea Ulaya…. waambie wafunge midomo yao‘
Tazama hivi vipisi vya video tatu hapa chini kuona akiiongelea hiyo.
.
.
Ukitaka kuitazama video nzima bonyeza play kwenye hii video hapa chini.
No comments:
Post a Comment