Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi mfano
wa cheki Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu (kulia).
Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi
2016 kwa kuchangia shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa
vingine vya mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu
Julias Nyerere jijini Dar es Salaam. Katikati ni mgeni rasmi wa mkutano
huo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga
akishuhudia tukio hilo Mkurugenzi

akishuhudia tukio hilo. Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker akizungumza machache katika
kikao kazi cha maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi kabla ya kukabidhi mfano
wa cheki yenye thamani ya shilingi milioni 75. Benki ya NMB imedhamini
mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kwa kuchangia
shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya mkutano huo
unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini
Dar es Salaam.Mgeni
rasmi katika mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga (wa kwanza
kushoto), Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu (katikati)
na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker wakiwa
wamesimama wakati wimbo maalumu wa Jeshi la Polisi ukiimbwa na Maofisa
Wakuu wa Jeshi hilo wanaoshiriki mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi
la Polisi nchini.Baadhi
ya Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wanaoshiriki mkutano kazi wa
Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wakiwa wamesimama kwa ukakamavu huku
wakiimba wimbo maalumu wa jeshi hilo. Mkutano huo umefunguliwa leo na
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga.Baadhi

ya maofisa waandamizi kutoka Benki ya NMB (kulia) wakiwa katika hafla
ya uzinduzi wa mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi
unaoendelea jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB imesaidia baadhi ya
gharama kuwezesha mkutano huo kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi
2016 kufanyika kwa kuchangia kiasi cha shilingi milioni 75 pamoja na
baadhi ya gharama.Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker akizungumza machache katika
kikao kazi cha maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi kabla ya kukabidhi mfano
wa cheki yenye thamani ya shilingi milioni 75. Benki ya NMB imedhamini
mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016 kwa kuchangia
shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa vingine vya mkutano huo
unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini
Dar es SalaamMkurugenzi

Dar es Salaam.Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi mfano
wa cheki Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu (kulia).
Benki ya NMB imedhamini mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi
2016 kwa kuchangia shilingi milioni 75 pamoja na baadhi ya vifaa
vingine vya mkutano huo unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu
Julias Nyerere jijini Dar es Salaam. Katikati ni mgeni rasmi wa mkutano
huo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga
akishuhudia tukio hilo.Baadhi
ya Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wanaoshiriki mkutano kazi wa
Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wakipata maelezo juu ya bidhaa
mbalimbali zinazotolewa na Benki ya NMB. Benki ya NMB imesaidia baadhi
ya gharama kuwezesha mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi
2016 unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere
jijini Dar es Salaam.Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP-Ernest Mangu akimtambulisha Mkurugenzi
Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (wa kwanza kushoto) kwa
baadhi ya makamishna wa Jeshi la Polisi mara baada ya kuwasili katika
Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo
unafanyika mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi. Katikati
(mwenye suti nyeusi) ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja wadogo wa Benki
ya NMB, Abdulmajid Nsekela.Mgeni
rasmi katika mkutano kazi wa Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi 2016,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Muhangwa Kitwanga (kushoto),
akizungumza leo kabla ya kuzinduwa rasmi kikao kazi cha maofisa wakuu wa
Jeshi la Polisi kinaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu
Julias Nyerere jijini Dar es Salaam.Baadhi
ya Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wanaoshiriki mkutano kazi wa
Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi wakiwa katika picha ya kumbukumbu na
meza kuu.
19 Feb 2016
New
NMB yakabidhi milioni 75 kusaidia Mkutano wa Makamanda Jeshi la Polisi
About SOSTENES LEKULE JR
Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment