Jaji
wa Mhakama Kuu ambae pia ni Mkuu wa Chuo cha Mahakama cha Lushoto Jaji
Ferdinand Wambali, akisaini kitabu cha wangeni alipotembelea banda la
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF, katika Maonesho ya Wiki ya Sheria
leo jijini Dar es Salaam.
Jaji
wa Mhakama Kuu ambae pia ni Mkuu wa Chuo cha Mahakama cha Lushoto Jaji
Ferdinand Wambali, akimuaga Ofisa mawasiliano wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya nchini (NHIF) Luhende Singu, katika Maonesho ya Wiki ya Sheria
leo jijini Dar es Salaam.
Ofisa
mawasiliano wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) Luhende
Singu akitoa maelekezo kwa wananchi juu ya kujiunga na mkuko huo, katika
Maonesho ya Wiki ya Sheria leo jijini Dar es Salaam.
Madaktari
wakiendelea na kutoa huduma za vipimo vya (Bp) na Sukari bure kwa
wananchi waleotembelea banda la (NHIF) leo jijini Dar es Salaam.
Wananchi
wakiwakiwa katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF)
katika Maonesho ya Wiki ya Sheria leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment