Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya PanAfrican Energy David K. Roberts (kulia)
akimuelezea jambo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof.
Justin Ntalikwa wakati wa ziara yake huko Songosongo katika visima vya
gesi asilia.
Ni katika ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa katika visiwa vya Songosongo.
PanAfrican
Energy Operational SH Engineer, Onestus Mujemula akielezea jambo kwa
wana habari katika ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini
huko Songosongo kwenye visima vya gesi, kutoka kushoto ni PanAfrican
Energy Country Chairman Patrick Rutabanzibwa, Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa na CSR Manager Andrew Kashangaki
(wakwanza kulia)
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa akipata
maelezo ya mradi kutoka PanAfrican Energy Operational SH Engineer
Onestus Mujemula kuhusu mradi wa uchimbaji gesi asilia katika visima
vinne uliomalizika kwa kutumia mtambo wa kisasa wa “RIG”
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Prof. Justin Ntalikwa akiongea na
wana habari wakati wa ziara yake ya kikazi katika visiwa vya Songosongo.
No comments:
Post a Comment