1. Hakuwa na Semina elekezi kwa Mawaziri wake.Kitendo hicho kiliokoa shilingi biloni 2 ambazo zilitumika kwa kazi nyingine.
2. Makusanyo ya mapato yaliongezeka baada ya kuingia madarakani kutoka bilioni 900 mpaka trilioni 1.4 kwa mwezi.
3. Alikabiliwa na changamoto za ukwepaji kodi na matumizi mabaya ya ofisi.Mfano sakata la makontena na watendaji bandarini na TRA.
4. Alikaa siku 3 bila baraza la mawaziri kuanzia Novemba 5,2015 alipoapisha hadi Disemba 10,2015
5. Alipunguza idadi ya mawaziri katika baraza lake,kutoka mawaziri 26 hadi kufikia mawaziri 19.
1. Alifanya semina elekezi kwa mawaziri wake,hata hivyo gharama halisi za semina elekezi hazikuwekwa bayana.
2. Makusanyo ya mapato yalipungua wakati anaingia madarakani kutoka bilioni 190 mpaka bilioni 157 kwa mwezi.
3. Alikabiliwa na changamoto ya ukame na ujambazi.Mfano ni tukio la wizi wa milioni 300 benki ya Standard Chartered.
4. Alikaa siku 14 bila baraza la mawaziri, kuanzia Disemba 21, 2005 alipoapishwa mpaka Januari 4,2005.
5. Aliongeza idadi ya mawaziri katika baraza lake kutoka mawaziri 27 hadi kufikia mawaziri 29 wakati anaingia.
No comments:
Post a Comment