Chuo Kikuu cha St. Joseph Tawi La Arusha chafungwa kwa muda Usiojulikana - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 25 February 2016

Chuo Kikuu cha St. Joseph Tawi La Arusha chafungwa kwa muda Usiojulikana


Uongozi  wa  Chuo  Kikuu  cha St. Joseph tawi  la  Arusha  umekifunga chuo  hicho  kwa  muda  usiojulikana  baada  ya  wanafunzi  kufanya  vurugu  chuoni  hapo.

Inaelezwa  kuwa, wanafunzi  wa  chuo  hicho  wamekuwa  katika  hali  ya  wasiwasi  wakihofia  chuo  chao  kufungwa  na  serikali  kama  kilivyofungwa  St. Joseph  tawi  la Songea 

Wanafunzi  wote  wameamriwa  kuondoka chuoni  na  wametakiwa  kusoma magazeti  au  kutembelea tovuti  ya  chuo  hicho  ili  kujua  hatima  yao.
Post a Comment