Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini
Moshi,(MUWSA) Joyce Msiru akisalimiana na mkuu wa wilaya ya
Moshi,Novatus Makunga aliyekuwa mgeni rasmi katika kikao cha wadau wa
maji cha kupokea maoni kilichofanyika ukumbi wa KKT -Himo.
Mkurugenzi
mkuuu wa MUWSA,Joyce Msiru akizungumza jambo na DC Makunga pamoja na
Mkurugenzi msaidizi wa mamlaka za maji mijini,Mhandisi Amani Mafuru na
Mwanasheria mkuu wa wizara ya maji na umwagiliaji Saimoni Nkanyemka.
Mkurugenzi wa MUWSA,Joyce Msiru akimuongoza Mkuu wa wilaya ya Moshi na wageni wengine kutoka wizara ya maji kuingia ukumbini.
Mwenyekitiwa
Bodi ya wakurugenzi MUWSA,Sharry Raymond (MB) (Katikati) akiwa na
Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo Hussein Jamal (Kulia) pamoja na Afisa
mtendaji wa mamlaka ya mji mdogo wa Himo,William Mseo (Kushoto).
Baadhi
ya Viongozi kutoka Menejimenti ya MUWSA pamoja na wawakilishi wa ofisi
ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika kikao hicho.
Baadhi ya wajumbe wa mji mdogo wa Himo na Madiwani wakiwa na mwanasheria wa Wizara ya maji na Umwagiliaji.
Afisa mtendaji wa mamlaka ya mji mdogo wa Himo,William Mseoakizungumza wakati wa utambulisho wa wageni katika kikao hicho.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na uSAFI WA mazingira mjini Moshi ,MUWSA,Joyce
Msiru akizungumza katika kikao hicho wakati anawasilisha taarifa fupi ya
utekelezaji wa Mamlaka hiyo katika mji wa Himo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira
mjini Moshi,(MUWSA) Sharry Raymond akizungumza katika kikao hicho.
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza katika kikao hicho.
Baadhi ya wananchi.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akichangia jambo
katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa KKKT Himo. NaDixon
Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Mkurugenzi
mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA)
Joyce Msiru akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga
aliyekuwa mgeni rasmi katika kikao cha wadau wa maji cha kupokea maoni
kilichofanyika ukumbi wa KKT -Himo.
Mkurugenzi
mkuuu wa MUWSA,Joyce Msiru akizungumza jambo na DC Makunga pamoja na
Mkurugenzi msaidizi wa mamlaka za maji mijini,Mhandisi Amani Mafuru na
Mwanasheria mkuu wa wizara ya maji na umwagiliaji Saimoni Nkanyemka.
Mkurugenzi wa MUWSA,Joyce Msiru akimuongoza Mkuu wa wilaya ya Moshi na wageni wengine kutoka wizara ya maji kuingia ukumbini.
Mwenyekitiwa
Bodi ya wakurugenzi MUWSA,Sharry Raymond (MB) (Katikati) akiwa na
Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo Hussein Jamal (Kulia) pamoja na Afisa
mtendaji wa mamlaka ya mji mdogo wa Himo,William Mseo (Kushoto).
Baadhi
ya Viongozi kutoka Menejimenti ya MUWSA pamoja na wawakilishi wa ofisi
ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika kikao hicho.
Baadhi ya wajumbe wa mji mdogo wa Himo na Madiwani wakiwa na mwanasheria wa Wizara ya maji na Umwagiliaji.
Afisa mtendaji wa mamlaka ya mji mdogo wa Himo,William Mseoakizungumza wakati wa utambulisho wa wageni katika kikao hicho.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na uSAFI WA mazingira mjini Moshi ,MUWSA,Joyce
Msiru akizungumza katika kikao hicho wakati anawasilisha taarifa fupi ya
utekelezaji wa Mamlaka hiyo katika mji wa Himo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira
mjini Moshi,(MUWSA) Sharry Raymond akizungumza katika kikao hicho.
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza katika kikao hicho.
Baadhi ya wananchi.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akichangia jambo
katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa KKKT Himo. NaDixon
Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment