Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Mh.Nnape Nnauye akiwa katika picha
ya pamoja na na baadhi ya Wakuu wa Idara ya Habari Maelezo na Wahariri
kutoka vyombo mbalimbali vya habari mapema leo,alipokutana nao na
kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabiri tasnia hiyo,mkutano huo
umefanyika kwenye moja ya ukumbi ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam.
Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Mh.Nnape Nnauye akiwa katika picha
ya pamoja na na baadhi ya Wakuu wa Idara ya Habari Maelezo na Wahariri
kutoka vyombo mbalimbali vya habari
Kaimu
Mkurugenzi Idara ya HabariMAELEZO Bi Zamaradi Kawawa akiwakaribisha
Wahariri wa vyombo vya habari (hawapo pichani),mapema leo jijini
Dar,kwenye mkutano ulioitishwa na Waziri Nape kwa ajili ya kujadili
mambo mbalimbali yanayoikabiri tasnia ya habari hapa nchini.Pichani kati
ni Waziri Mh.Nape pamoja na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absalom
Kibanda.
Baadhi
ya Wahariri wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano huo wakifuatilia
mambo mbalimbali yaliyokuwa yakijadiliwa ukumbini humo.
Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Mh.Nnape Nnauye akizungumza
na Wahariri wa vyombo vya habari (hawapo pichani),mapema leo jijini
Dar,kwenye mkutano uliohusu kujadili mambo mbalimbali zikiwemo
changamoto zinazoikabiri tasnia ya habari hapa nchini.Pichani kulia ni
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda na kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO Bi Zamaradi Kawawa .
Mmoja
wa Wahariri Kurwa Kaledia kutoka New Habari Hause akiomba ufafanuzi wa
jambo kwa Mh Waziri Nape huku baadhi ya wahariri wakifuatilia kwa
makini.
Mmoja wa Wahariri Grace Hoka akifafanua jambo kwenye mkutano huo
Baadhi ya Wahariri wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo
Baadhi ya Wahariri juu pichani wakishiriki kuchangia mambo mbalimbali kwenye mkutano huo.
Baadhi ya Wahariri juu pichani wakishiriki kuchangia mambo mbalimbali kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti
wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda akitoa muongozo kwa Wahariri wa
Vyombo vya habari (hawapo nchini) kuhusina na mkutano wao ulioitishwa na
Waziri Nape kujadili mambo mbalimbali na changamoto zinazoikabiri
tasnia hiyo kwa ujumla.
Mhariri akiuliza swali
Baadhi ya Wadau wakubwa wa habari pia walikuwepo kwenye mkutano huo .PICHA NA MICHUZI JR
Mhariri wa Gazeti la the Citizen Bw Peter Nyanje akichangia jambo wakati wa kikao kati ya wahariri wa vyombo vya habari na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo.
Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Jamhuri Media Ltd Bw.Deodatus Balile akichangia hoja katika kikao kati ya wahariri wa vyombo vya habari na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiongea na wahariri wa Vyombo vya Habari(hawapo pichani) leo hii jijini Dar es Salaam.Mhe Nape alivipongeza vyombo vya Habari kwa kufanya wajibu wao katika kipindi cha uchaguzi mkuu na kuwahaidi kuwa serikali itakuwa karibu nao sana na kuhimiza kuwa serikali ya awamu ya Tano itatunga sheria nzuri itakayoraisisha utekelezaji wa majukumu yao.Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Bw.Absalom Kibanda.
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Bw.Absalom Kibanda akiwahimiza wahariri wa vyombo vya Habari(hawapo pichani) kuhusu kutenda wajibu wao wakati wote wanapofanya kazi zao kwani uhuru waendani na wajibu leo jijini Dar es Salaam.kulia kwake ni Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye na wa mwisho ni Kaimu mkurugenzi mkuu Idara ya Habari-MAELEZO Bi Zamaradi Kawawa.

Mhariri mkuu wa
Gazeti la The Guardian Bw.Jesse Kwayu akichangia hoja wakati wakati wa kikao kati ya wahariri wa vyombo
vya habari na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe Nape Nnauye.Bw
Kwayu alimsihi Mhe Nape kuzidi kuwa karibu na waandishi na pia zitungwe sheria
zitakazowawezesha waandishi wa habari kupata habari kwa urahisi na kufanya kazi
yao ya kuhabarisha jamii. Picha
na Daudi Manongi-Wizara ya habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
No comments:
Post a Comment