Watu 8 Wakiwemo Polisi Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Kibaigwa Mkoani Dodoma - LEKULE

Breaking

4 Jan 2016

Watu 8 Wakiwemo Polisi Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Kibaigwa Mkoani Dodoma


Watu wanane wakiwamo askari wa jeshi la Polisi,watoto wawili na wapita njia wawili wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji katika eneo la Kibaigwa Bwawani mkoani Dodoma.


Naibu Kamishna mwandamizi wa jeshi la Polisi David Misime amethibitisha leo  kutokea kwa vifo hivyo.

No comments: