Video: Samatta kwenye gari la Waziri wa michezo alivyoitembeza tuzo yake Dar akisindikizwa na Polisi - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Sunday, 10 January 2016

Video: Samatta kwenye gari la Waziri wa michezo alivyoitembeza tuzo yake Dar akisindikizwa na Polisi

January 9 2016 mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora Afrika kwa Wachezaji wa ndani Mbwana Samatta aliungana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na MichezoNape Nnauye na Watanzania wengine kusherehekea ushindi wa tuzo yake ambapo msafara ulianzia town Dar es salaam mpaka Escape One Mikocheni.


Post a Comment