Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto)
kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura
akikabidhi sehemu ya msaada kwa baadhi ya watoto kutoka Kituo cha
kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kiwohede kilichopo
Buguruni Malapa cha jijini Dar es Salaam. Msaada huo umetolewa leo na
Kampuni ya TTCL kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto)
kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura
akimkabidhi Mlezi wa Watoto na Vijana, Stella Mwambenja wa Kituo cha
kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kiwohede kilichopo
Buguruni Malapa cha jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya watoto wa
kituo hicho.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto)
kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura
akizungumza na wanahabari mara baada ya kukabidhi sehemu ya msaada wa
chakula kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016 kwa vituo vitatu vya
watoto yatima Dar es Salaam. Kulia ni Mlezi wa Watoto na Vijana wa Kituo
cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kiwohede,
Stella Mwambenja.
Mmoja
wa watoto kutoka Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira
magumu cha Kiwohede cha Buguruni Malapa Dar es Salaam akitoa shukrani
kwa kampuni ya TTCL baada ya kukabidhiwa msaada huo na Kampuni ya TTCL
kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto)
na Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Amanda Luhanga (kulia) wakipewa
historia fupi ya Kituo cha Makazi ya Wazee Nunge kwa Ofisa Mfawidhi,
Ojuku Mgezi (katikati) kabla ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa ajili ya
Siku Kuu ya Mwaka Mpya.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto)
akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula Ofisa Mfawidhi wa Kituo cha
Makazi ya Wazee Nunge, Ojuku Mgezi (wa pili kushoto) msaada huo
umetolewa leo na TTCL kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016. Wengine
ni viongozi na wawakilishi wa jumuiya ya Kituo cha Makazi ya Wazee
Nunge.

Sehemu ya makazi ya Kituo cha Makazi ya Wazee Nunge
Sehemu
ya msaada ukishushwa kwenye Kituo cha Makazi ya Wazee Nunge. Msaada huo
umetolewa leo na TTCL kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016. Msaada
huo umetolewa leo na TTCL kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kulia)
akizungumza na watoto wa Kituo cha Kulelea Watoto Wanaoishi katika
Mazingira Magumu cha Honoratha cha Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa
ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kulia)
akimkabidhi sehemu ya msaada Mlezi wa Kituo cha Kulelea Watoto Wanaoishi
katika Mazingira Magumu cha Honoratha cha Temeke jijini Dar es Salaam
leo kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016. TTCL imetoa msaada wa
mifuko ya Unga, Sukari, Mchele, Maharage na Mafuta ya Kupikia kwa vituo
vitatu tofauti vya watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas
(katikati) kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha
Kazaura akimkabidhi mmoja wa wawakilishi wa Kituo cha Kulelea Watoto
Wanaoishi katika Mazingira Magumu cha Temeke cha jijini Dar es Salaam.
Msaada huo umetolewa leo na TTCL kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya
2016.
No comments:
Post a Comment