Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiongoza Matembezi ya wanamichezo katika Bonanza la mazoezi
ya viungo kitaifa yaliyofanyika leo kwa kuwanzia Uwanja wa Tumbaku
Mjini Unguja na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium.

akiwapungia mkono wanamichezo wa Vikundi mbali mbali kama ishara ya
kuyapokea maandamano ya vikundi hivyo katika kilele cha Bonanza la
mazoezi ya viungo kitaifa lililofanyika leo katika Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja.
Wamamichezo
wa Vikundi vya mazoezi wakipita mbele ya jukwaa kubwa Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya viungo
kitaifa yaliyofanyika leo ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Wamamichezo
wa Vikundi vya mazoezi wakipita mbele ya jukwaa kubwa Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja katika kilele cha matembezi ya Bonanza la mazoezi
ya viungo kitaifa yaliyofanyika leo ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Wanakikundi
cha Amakweli Fitness Club ya Welezo Grinada wakibeba bango la Chama cha
Mchezo wa Maziezi ya Vuingo Zanzibar (ZABESA) linalosema "JIKINGE DHIDI
YA MARADHI YA KISUKARI PRESHA NA SARATANI KWA KUFANYA MAZOEZI"wakipita
mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipoyapokea matembezi
ya Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa lililofanyika leo uwanja wa
Amaan Studium Mjini Unguja.
Kikundi
cha Mazoezi Mwera Fitness Club kikipita mbele ya mgeni rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) alipoyapokea matembezi wakati wa Bonanza la
mazoezi ya viungo kitaifa lililofanyika leo uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja.
Kikundi
cha Mazoezi Chumbuni Studio kikipita mbele ya mgeni rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) alipoyapokea matembezi wakati wa Bonanza la
mazoezi ya viungo kitaifa lililofanyika leo uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja.
Kikundi
cha Mazoezi kutoka Kisiwani Pemba kikipita mbele mbele ya mgeni rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) alipoyapokea matembezi ya Bonanza la mazoezi ya
viungo kitaifa lililofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Kikundi
kutoka Dar es Salaam ni miongoni mwa vikundi vilivyojumuika katika
matembezi ya Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa lililofanyika leo
uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani).
Miongoni
mwa Vikundi vya Mazoezi hapa Mjini Unguja nacho kikionesha manjonjo ya
aina ya mazoezi mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika
kilele cha Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa lililofanyika leo
uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguji.
No comments:
Post a Comment