Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete Wampa pole Mama Maria Nyerere kwa msiba wa Marehemu Leticia Nyerere - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Wednesday, 13 January 2016

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete Wampa pole Mama Maria Nyerere kwa msiba wa Marehemu Leticia Nyerere

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiongea na Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere Jana Jumanne Januari 12, 2016
Mama Salma Kikwete akimfariji  Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere jana Jumanne Januari 12, 2016

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipomtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumpa pole Mama Maria Nyerere kwa kufiwa na mkwewe Marehemu Leticia Nyerere jana Jumanne Januari 12, 2016
Post a Comment