MLALE JKT FOOTBALL CLUB. - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Monday, 4 January 2016

MLALE JKT FOOTBALL CLUB.

Unapozungumzia hii timu ya vijana ambayo ipo ligi daraja la kwanza ambayo inajulikana kwa jina MLALE JKT FC ni timu ya mpira wa miguu  inayomilikiwa na wanakikosi wa MLALE JKT yenye maskani yake makuu huko mkoani Ruvuma katika wilaya ya Songea Vijiji,kata ya Magagura ni timu ambayo madhumuni yake ni kuleta na kuongeza chachu ya mchezo wa mpira katika mkoa wa Ruvuma.Ni tishio inapokuwa uwanja na hakuna shabiki wa mpira wa miguu anayefuatilia ligi daraja la kwanza Tanzania asiyejua UKALI wa timu hii inapokuwa uwanjani.
HIKI NI KIKOSI KAMILI CHA MLALE JKT FC AMBACO KILIUMANA VIKALI NA TIMU YA RUVU SHOOTING,KATIKA UWANJA WA MABATINI MLANDIZI PWANI

KIKOSI CHA MLALE FC WAKISALIMIANA NA WACHEZAJI WA LIPULI FC KABLA YA MCHEZO AMBAO ULICHEZWA KATIKA UWANJA WA IWAMBI,MUFINDIBENCHI LA UFUNDI LA MLALE JKT FC NA WALIPOKUWA WAKIMENYANA NA LIPULI FC KATIKA UWANJA WA IWAMBI

KOCHA MSAIDIZI WA MLALE JKT FC,EDGAR  MSABILA

KOCHA MSAIDIZI WA MLALE JKT FC AKIWA NA KOCHA WA YANGA WALIPOKUTANA KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI KATIKA UWANJA WA KARUME DAR

KOCHA MSAIDIZI NA TIMU NZIMA WALISHIRIKI KATIKA USAFI WA 09 DECEMBER MWAKA JANA
Post a Comment