Linex Sunday ameoa na hizi ni picha zake na mwenza wake. - LEKULE BLOG

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 12 January 2016

Linex Sunday ameoa na hizi ni picha zake na mwenza wake.

Kama vile ambavyo huenda na wewe mtu wa nguvu umekutana na pichaz mitandaoni, Linex ndani ya suti yake kali kabisa, mrembo ndani ya gauni la nguvu !! Ilikuwa ndoa kabisa au ndio mambo ya cover ya mdundo njiani ?! Basi na Soudy Brownnae kazipata pichaz hivyohivyo..
Linex kaanza kujibu hivi maswali ya Soudy Brown kuhusu picha hizo >>> ‘Kusoma hujui hata picha huoni? Kwani mimi nina kasoro kwamba siwezi kuoa au?
Unahisi ni cover ya wimbo anaotaka kutambulisha? Jibu lake hili hapa >> ‘Sina single yoyote kwanza muziki wenyewe nimepumzika… picha za kanisani coming soon’>> kamaliza hivyohivyo.
IMG-20160111-WA0014
Sauti ya U Heard yote ya Soudy Brown na majibu ya Linex hii hapa kama umepitwa mtu wangu.

Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.