ANGALIA ZAWADI ALIYOPEWA MBWANA SAMATTA NA SERIKALI YA JAMHURI YAMUUNGANO WA TANZANIA - LEKULE

Breaking

13 Jan 2016

ANGALIA ZAWADI ALIYOPEWA MBWANA SAMATTA NA SERIKALI YA JAMHURI YAMUUNGANO WA TANZANIA


IMG_20160112_232125
Zawadi ya Samatta kwa Waziri mkuu ikipokelewa na waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Headlines za Mbwana Samatta kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani ya Afrika, bado inazidi kuleta furaha kwa wapenzi, mashabiki, watanzania na viongozi wa serikali kwa ujumla. Usiku wa January 12 Mbwana Samatta alifanyiwa party iliyopewa jina la Samatta Party. Party ilifanyika na serikali kutangaza kumpatia zawadi ya kiwanja Kigamboni na siku kadhaa mbele atakabidhiwa hati.
IMG_20160112_232228
Mkuu wa idara ya Vodacom kanda ya Pwani Harrieth Koka akiwa katika picha ya pamoja na Samatta
IMG_20160112_232252
Mshindi wa Big Brother Afrika Idris Sultan akiwa na Samatta
IMG_20160112_231625
IMG_20160112_231648
Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Popekushoto na mwandishi wa habari za michezo Saleh Ally
IMG_20160112_231728
IMG_20160112_231754
Samatta katikati, kushoto waziri wa michezo Nape Nnauye na waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
IMG_20160112_231815
IMG_20160112_232012
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuviakithibitisha serikali kumzawadia fedha na kiwanja maeneo ya Kigamboni.
IMG_20160112_231838
IMG_20160112_231857
Samatta akiwa na waziri Nape na Lukuvi pamoja na mama na baba yake.
IMG_20160112_231916
IMG_20160112_231936
Thomas Ulimwengu alikuwepo pia kumsapoti Samatta

No comments: