Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi wa Studio ya Muziki na Filamu mara alipowasili
katika viwanja vya Studio ya Rahaleo Mjini Unguja wakati wa ufunguzi wa
Studio ya Muziki na Filamu leo ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya
Zanzibar kutimia miaka 52
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
akiwaangalia wasanii walipokuwa wakitoa burudani yao mara alipowasili
katika viwanja vya Studio ya Rahaleo Mjini Unguja wakati wa ufunguzi wa
Studio ya Muziki na Filamu leo ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya
Zanzibar kutimia miaka 52
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Studio ya Muziki na
Filamu uliofanyika leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini
Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Studio za Muziki na Filamu Bakari
Shomari alipotembelea Studio ya kurikodia Muziki baada ya kufanya
ufunguzi rasmi uliofanyika
leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni
shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wiazra ya habari Utalii
Utanmadunu na Michezo Dkt. Ali Mwinyikai alipotembelea moja ya Studio ya
kurikodia Muziki baada ya kufanya ufunguzi rasmi uliofanyika
leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni
shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,(wa pili
kushoto)Meneja wa Studio za Muziki na Filamu Bakari Shomari
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
na Viongozi wengine wakiwaangalia wasanii wanavyorekodi wakiwa Studio wa
Muziki wa Audio alipotembelea Studio za Kurikodia Filamu na Muziki leo
katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra
shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52
Baadhi ya wananchi na wasanii waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Studio za Muziki na Filamu leo uliofanywa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya
Zanzibar
Baadhi
ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliohudhuria katika
sherehe za Ufunguzi wa Studio za Muziki na Filamu leo uliofanywa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya
Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa na Viongozi wengine wakiangalia Moja ya Filamu
iliyooneshwa leo wakati wa ufunguzi rasmi wa Studio ya Muziki na
Filamu,mara baada ya kufanyika ufunguzi huo leo katika jengo la zamani
la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya
Zanzibar kutimia miaka 52
Msanii maarufu Makombora alipokuwa akisoma risala kwa niaba ya wasanii wenzake leo wakati wa ufunguzi wa Studio ya Muziki na Filamu leo,uliofanywa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Sheinikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wasanii katika sherehe za ufunguzi wa
Studi ya Muziki na Filamu katika Jengo la zamani la Studio ya Rahaleo
Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52
Baadhi ya Viongozi na Wasanii maarufu wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Studio ya Muziki na Filamu uliofanywa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
leo katika Jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni
shamra shamra za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment