Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akifanya mahojiano na waandishi wa Habari leo baada ya
kumalizika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la
Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka
52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumzaa na wananchi baada ya kumalizika kwa zoezi la
Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa
Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar.
Baahi
ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakitandaza kifusi kwa
kukiweka sawa katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la
Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe
za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akizoa taka katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo
eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa
Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akibeba taka katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika
leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi
wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akiteta akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B.Unguja
Ayoub Maohammed Mahmoud wakati zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika
leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi
wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment