Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni A.C.P Camillus
Wambura(kushoto)akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia alipowasili ofisini kwake akiwa kama
Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili
dhidi ya wanawake na watoto leo katika viwanja vya Polisi Oysterbay
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Askari polisi na wanafunzi wa Shule ya Msingi Oysterbay na Mbuyuni
wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum wakati wa maandamano ya
amani ya uzinduzi wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya
wanawake na watoto leo katika viwanja vya polisi Oysterbay jijini Dar es
Salaam. Uzinduzi huo ulidhaminiwa na Vodacom Foundation.
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Oysterbay na Mbuyuni wakiwa wamebeba
mabango yenye ujumbe maalum wakati wa maandamano ya amani ya uzinduzi wa
maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto
leo katika viwanja vya polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam. Uzinduzi
huo ulidhaminiwa na Vodacom Foundation.
Askari
wa jeshi la polisi kikosi maalum cha Kurasini jijini Dar es Salaam
akiongoza maandamano ya amani ya uzinduzi wa maadhimisho ya siku 16 za
kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto leo katika viwanja vya
polisi Oysterbay.Uzinduzi huo ulidhaminiwa na Vodacom Foundation.
Baadhi
ya Askari polisi na wanafunzi wa Shule ya Msingi Oysterbay wakiwa
wamebeba mabango yenye ujumbe maalum wakati wa maandamano ya amani ya
uzinduzi wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake
na watoto leo katika viwanja vya polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi huo ulidhaminiwa na Vodacom Foundation.
Askari
wa jeshi la polisi kikosi maalum cha kutuliza ghasia(FFU)cha jijini Dar
es Salaam akiongoza maandamano ya amani ya uzinduzi wa maadhimisho ya
siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto leo katika
viwanja vya polisi Oysterbay.Uzinduzi huo ulidhaminiwa na Vodacom
Foundation.
Kamishina
Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni A.C.P Emanuel J. Mley
akiongea na wageni waalikwa waliofika katika uzinduzi wa maadhimisho ya
siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto leo katika
viwanja vya polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam,Kulia kwake ni Mgeni
rasmi wa maadhimisho hayo,Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia.Uzinduzi huo ulidhaminiwa na Vodacom
Foundation.
Mgeni
rasmi wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya
wanawake na watoto,Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa
Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia akiongea na wageni waalikwa waliofika
katika uzinduzi huo leo katika viwanja vya Polisi Oysterbay jijini Dar
es Salaam,Kushoto kwake ni Kamishina Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Kipolisi
Kinondoni A.C.P Emanuel J. Mley.Uzinduzi huo ulidhaminiwa na Vodacom
Foundation.
Mkuu
wa Dawati la Jinsia la Polisi Chuo kikuu cha Dar es Salaam,S.P Leah
Mbunda(kushoto)akiteta jambo na Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa Maadhimisho
ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto,Kaimu
Mkurugenzi mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn
Mworia(kulia) wakati wa maadhimisho hayo,katika ni Mkaguzi msaidizi wa
Polisi anayeshughulikia Dawati la Jinsia katika Kituo cha Polisi
Oysterbay jijini Dar es Salaam,A/INSP Prisca Komba.
Kamishina
Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni A.C.P Emanuel J.
Mley(kulia)akijadiliana jambo na Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa Maadhimisho
ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto,Kaimu
Mkurugenzi mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn
Mworia,Wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika leo katika viwanja vya
Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom
Foundation.
No comments:
Post a Comment