Magogo ambayo yanasagwa na kuwa vipande vidogo vidogo ambavyo vinasagwa na kuwa karatasi.
Vipande vidogo vidogo vya miti vikiwa katika mkanda (conveyer belt) wa kupeleka kwenye mashine ya kutengeneza karatasi.
Matius
Makupa, Meneja wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufundi akitoa maelezo juu
ya utengenezaji wa karatasi kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo
waliotembelea kiwandani hapo.
Ujiuji wa karatasi ukiwa ndani ya machine tayari kukaushwa na kuwa karatasi .
No comments:
Post a Comment