Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa wamebeba mfano wa majeruhi wa
ajali, mara baada ya kumuokoa kutoka eneo la tukio wakati wa maonyesho
ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi
hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam,
mwishoni mwa wiki.
Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakionyesha jinsi ya kuzima moto
wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na
Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini
Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki.
Wahitimu
wakionyesha mafunzo ya karate waliyopata mara baada ya kuhitimu kozi
ya awali ya Sajini na Askari wakati wa kufunga mafunzo hayo katika Chuo
cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Wahitimu
wakionyesha mafunzo ya sarakasi waliyopata mara baada ya kuhitimu
kozi ya awali ya Sajini na Askari wakati wa kufunga mafunzo hayo katika
Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam,yaliyofanyika
mwishoni mwa wiki.
Mhitimu
wa Mafunzo ya Kozi ya Awali ya Sajini na Askari,Joel
Daniel(kulia),akimpiga teke mhitimu mwenzake Sylvestre Mandawa, wakati
wa maonyesho ya karate ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini
na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT
Kimbiji,jijini Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki.
Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,wakiwadhibiti vijana ambao ni mfano wa
wezi ambao walikamatwa wakiiba vitu wakati wa janga la moto,maonyesho
hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki,Chuo Cha Uongozi JKT Kimbiji, jijini
Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil,
akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki
katika Chuo Cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Pius Nyambacha, akizungumza
wakati wa kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Chuo Cha
Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi).
No comments:
Post a Comment