TASWIRA MBALIMBALI KATIKA USIKU WA TUZO YA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2015 - LEKULE

Breaking

13 Dec 2015

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA USIKU WA TUZO YA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2015




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na utawala wa benki ya CRDB, Bi Ngalija wakati wa kutoa zawadi katika hafla hiyo. Kutokea (kulia) ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki na Makamu Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Bwana, Norman Msigala wa CCBRT baada ya kutoa hotuba nzuri katika hafla hiyo.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, akiongea katika hafla hiyo.

Mwakilishi wa CCBRT, Amour Abdallah na Mshauri wa Maendeleo wa Rasilimali watu wakipokea tuzo kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Mwkt wa ATE, Mh. Almasi Maige, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, Makamu Mwkt wa ATE, Zuhura Muro na Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad (kushoto).

Mkurugenzi wa Masoko wa Kilombero Sugar, Ephraim Mafuru akipokea tuzo kutoka kwa kwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka.

Mwakilishiwa Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi nchini (SSRA), Lightnes Mauki akipokea tuzo kutoka kwa kwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki.

Mwakilishi wa Kampuni ya Maswala ya Kisheria ya Yakubu & Associates Chamber, Dkt. Timoth Kyepa akipokea tuzo kutoka kwa kwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Katibu Mkuu wa TUCTA, Mwkt wa ATE, Mh. Almasi Maige, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, Makamu Mwkt wa ATE, Zuhura Muro, Mkurugenzi Mtendaji wa ATE na Dkt. Aggrey Mlimuka.  

No comments: